PICHA ZA AJALI YA GOROFA LILOANGUKA
Imetokea
leo hii dakika Morogoro Road na Indira Gandhi (City Centre - Dar),
Inasemekana Watu wapatao 60 walikuwepo ndani yake.. watoto wa Madrassa
walikuwemo katika jengo hili na pia mpaka sasa maiti zilizoopolewa ni 14
na majeruhi zaidi ya 30 wamekimbizwa hospitali, Bado pia kuna baadhi ya
watu hai ndani yake.
Jitihada za uokoaji zimeanza kufanyika,
Waziri Nchimbi tayari amekwishafika eneo la tukio mpaka sasa japo kuna
uhaba wa vyombo vinavyostahili kushughulikia hali hii.
No comments:
Post a Comment