WASANII WATANO WENYE MKWANJA MREFU 2013 KUTOKANA NA FORBES
Namba 2 imeenda
kwa Shawn Jay-z” Carter anamiliki dola milioni 475 na anaendelea
kushikilia hisa kwenye kampuni ya Roc Nation, Carol’s Daughter, Brooklyn
Nets na vitu vingine kikubwa zaidi ni Barclays Center yenyewe, pia
ameongeza ushirikiano na Duracell, Budweiser na Barcadi D’usse Cognac.
Namba 3 imeenda
kwa Andre “Dr Dre” Young anamiliki dola milioni 350, anashukuru sana
headphones zake za Beats By Dre. Mwaka mmoja baada ya kuuza asilimia 51
ya kampuni kwa watengenezaji wa simu HTC kwa dola milioni 300 uwezekaji
wao unaendelea kukua kwa faida kutokana na kufanya vizuri zaidi kwa
asilimia 65 kwa share nzuri ($99 na zaidi) katika soko la headphones.
Bryan “Birdman”
Williams anashikilia namba 4 na kamapuni yake ya Cash Money Young Money
inakuwa anamiliki dola milioni 150. YMCMB anapatikana Drake, Nicki
Minaj na Lil Wayne. Birdman pia kw sasa amezindua YMCMB clothing line
inafahamika na kinywaji kikali kinachofahamika kama GT Vodka.
Akifunga list
katika wasanii watano wenye mkwanjwa walitajwa na Forbes anashikilia
Namba 5 “Curtis “50 Cent” Jackson” anmiliki dola milioni 125. Mkwanja
wake huo unatokana na kuuza sana muziki wake, Biashara, video games na
vitabu vilivyotokana na album yake ya Get Rich Or Die Tryn” na uwekezaji
aliolipwa na Vitamin Water parent Glaceau kwa Coca cola mwaka 2007.
No comments:
Post a Comment