Friday, March 29, 2013

BAROZI WA AIRTEL NCHINI AMBWENE YESSAYA AY PAMOJA NA CREW YOTE YA AIRTEL WAANAZA KUTOA MISAADA MASHULENI

 

SASA HARI INATISHA MAGOROFA YANAANGUKA TU UPEPO KIDOGO TU

PICHA ZA AJALI YA GOROFA LILOANGUKA

Imetokea leo hii dakika Morogoro Road na Indira Gandhi (City Centre - Dar), Inasemekana Watu wapatao 60 walikuwepo ndani yake.. watoto wa Madrassa walikuwemo katika jengo hili na pia mpaka sasa maiti zilizoopolewa ni 14 na majeruhi zaidi ya 30 wamekimbizwa hospitali, Bado pia kuna baadhi ya watu hai ndani yake.
Jitihada za uokoaji zimeanza kufanyika, Waziri Nchimbi tayari amekwishafika eneo la tukio mpaka sasa japo kuna uhaba wa vyombo vinavyostahili kushughulikia hali hii.

DIAMOND AWADATISHA MASHABIKI

ACHEZEA KICHAPO BAADA YA KUNYONYA CHUCHU ZA DIAMOND PLATNUMZ

Binti uzalendo ulimshinda, akaenda kumnyonya matiti DiamondShow ya Diamond platnumz iliyofanyika Kahama, imefagiliwa kwenye mitandao mbalimbali kwa ukali wake. Kama kawaida, mara nyingi vituko huambatana na matukio ya watu kujirusha usiku. Show ya Diamond haikuwa tofauti.Binti alipokua kwenye show ya Diamond, uzalendo ulimshinda, akaenda kunyonya chuchu za diamond kama inavyoonekana pichani hapa chini. Kitendo hicho kilimuudhi bwana wake, ambapo alimvuta binti huyo na kumchapa makofi. Katika picha ya pili, binti huyo anaonekana akilia baada ya kuchezea kichapo, huku akiwa amewekwa “chemba” na boyfriend wake.Binti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wakeBinti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wake 
DIAMOND KAZINI NA MADANCER WAKE

KUTOKA KWA OBAMA

WASANII WATANO WENYE MKWANJA MREFU 2013 KUTOKANA NA FORBES

Sean" Diddy" Combs amekuwa wa kwanza kwa mwaka huu ametajwa kwenye list ya Forbes ya wasanii 5 wenye mkwanja, anakadiriwa kuwa na dola milioni 580. Akiwa yeye ndo mwanzilishi wa Bad Boy, mkwanja wake mwingi unatokana na kinywaji chake cha Ciroc.
Namba 2 imeenda kwa Shawn Jay-z” Carter anamiliki dola milioni 475 na anaendelea kushikilia hisa kwenye kampuni ya Roc Nation, Carol’s Daughter, Brooklyn Nets na vitu vingine kikubwa zaidi ni Barclays Center yenyewe, pia ameongeza ushirikiano na Duracell, Budweiser na Barcadi D’usse Cognac.

Namba 3 imeenda kwa Andre “Dr Dre” Young anamiliki dola milioni 350, anashukuru sana headphones zake za Beats By Dre. Mwaka mmoja baada ya kuuza asilimia 51 ya kampuni kwa watengenezaji wa simu HTC kwa dola milioni 300 uwezekaji wao unaendelea kukua kwa faida kutokana na kufanya vizuri zaidi kwa asilimia 65 kwa share nzuri ($99 na zaidi) katika soko la headphones.

Bryan “Birdman” Williams anashikilia namba 4 na kamapuni yake ya Cash Money Young Money inakuwa anamiliki dola milioni 150. YMCMB anapatikana Drake, Nicki Minaj na Lil Wayne. Birdman pia kw sasa amezindua YMCMB clothing line inafahamika na kinywaji kikali kinachofahamika kama GT Vodka.

Akifunga list katika wasanii watano wenye mkwanjwa walitajwa na Forbes anashikilia Namba 5 “Curtis “50 Cent” Jackson” anmiliki dola milioni 125. Mkwanja wake huo unatokana na kuuza sana muziki wake, Biashara, video games na vitabu vilivyotokana na album yake ya Get Rich Or Die Tryn” na uwekezaji aliolipwa na Vitamin Water parent Glaceau kwa Coca cola mwaka 2007.

Wednesday, March 20, 2013

SIASA SASA SIO DILI KABISA BORA KURUDI SHAMBA TUKALIME

CHADEMA KUMBE NDIO MCHEZO WENU HUU,VIJANA KIMBIENI

KILIO CHA USALITI – PART TWO.

Wakati mwingine tunajikuta tunalazimika kuyasema hata yale ambayo hatukupanga wala kufikiria kuyasema.,nimekuwa nikipigiwa simu na ndugu zangu na rafiki zangu ambao bado wako chadema wakiniuliza kwanini nimeamua kuyasema ninayoyasema, tena kwa lugha kama hii (inayobainisha), nami nimekuwa nikiwajibu kuwa "hivi haiwi faraja kwenu kuwa yupo mmoja aliyewahi kuwa mfano wenu anayetaka kuwaokoa na hatari yenye kuangamiza..?
Nadhani wengi katika wao wamenielewa lakini nitazidi kuwaeleweshaa wale ambao bado wanaubutu na kutu imejaa katika fikra na mitazamo yao.

Nimeeleza juu ya kukanwa na usaliti uliofanywa kwa LuDOVICK na nikaishia hapo, nikidhani kuwa itakuwa imetosha kuwafungua mawazo na kuwasaidia vigezo na vipambanuzi vya kuwawezesha kufanya maamuzi sahihi, maamuzi huru ambayo yatatokana na fikra zinazojitawala za kila mmoja katika upekee wake, si fikra za mkumbo (mob psychology) wala si fikra mgando na zilizosinyaa (dormant and dead reasoning), lakini nitawaongeza na hili la leo kuyaamsha mawazo hayo yaliyoganda na kuwafanya muishi kwa Uhai wa fikra Huru.

Napenda nianze kwa kuwaambia kuwa si mara ya kwanza kwa viongozi wa Chadema kuwakana wapambanaji wao na vijana waliokuwa wanajitolea hali na mali, wanajitolea nafsi na uhai kuipigania Chadema. Nitawaambieni juu ya wachache waliowahi kusalitiwa na kukanwa hadharani na vongozi waandamizi wa chadema kama ifuatavyo:-

i) DEUS MALLYA:
Kwa mara ya kwanza nakutana na DEUS ilikuwa ni mwaka 2007, nikiwa nimejiunga na chuo kikuu cha Dar es salaam, ambapo nilishakuwa mwanachadema kabla ya kuingia Chuo Kikuu, hivyo nilipofika chuo nilijaribu na kufanikiwa kukutana na vijana wapambanaji wa Chadema hasa wale waliokuwa wanatumikia Makao Makuu ndipo nilipokutana na DEUS MALLYA ambae alikuwa akitumika katika kuchapisha mabango na vipeperushi ambavyo vilikuwa vinabeba ujumbe wa Chadema na falsafa mbalimbali za Ukombozi ambazo chadema ilikuwa ikinajinasbisha nazo.
Nilipokutana na DEUS tulipanga na kupeana ushauri wa jinsi ya kueneza na kusambaza vipeperushi hivyo na hatimae aliniunganisha na JOHN MNYIKA ambae kwa kipindi hicho alikuwa ni Mkurugenzi wa Vijana na Afisa wake akiwa Marehemu Regia Mtema, ambapo DEUS alikuwa ni mtu wa karibu na maafisa hao, hasa MNYIKA.

Na walikuwa pamoja na kufanya mambo mengi, ninayoyakumbuka ni pamoja na;

a) Safari ya DEUS mallya kuelekea LIBYA katika kongamano la vijana akiwa muwakilishi wa vijanakutoka chadema chini ya usimamizi wa Mnyika.
b) Safari ya RUSSIA ambapo DEUS alinieleza kuwa alienda kwa mafunzo maalum.

Lakini Mnamo mwezi wa tisa (9) mwaka 2008, baada ya kutokea kwa kifo cha kutetanisha cha Mheshimiwa CHACHA WANGWE ambapo DEUS alikuwa ni Dereva na mshukiwa wa kwanza katika ajali ile, JOHN MNYIKA alimkana DEUS mara mbili, mara ya kwanza ni pale apohojiwa na maafisa wa polisi juu ya kijana DEUS akamkana, na mara ya pili alipokutana na vyombo vya habari kuzungumzia sakata hilo akamkana kwa mara ya pili.

Hata baada ya kesi ya DEUS kumalizika na kisha DEUS kuachiwa huru, nilizungumza na DEUS juu ya kukanwa na MNYIKA na DEUS alinijibu kuwa mshikaji alimuomba radhi na kumtaka asahau yaliyopita na DEUS alikiri kumsamehe na imebaki hivyo mpaka hivi sasa (hili anaweza kulithibitisha DEUS MALLYA mwenyewe kwakuwa yu-hai)

Lakini haikuishia kwa MNYIKA pekee bali hata BENSON KIGAILA ambae ni Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Mafunzo aliwahi kumkana na anaendelea kumkana mpaka leo hii, kiasi kwamba DEUS akienda pale Makao Makuu na akikutana na BENSON huwa anamuambia kuwa asiwe anakuja Makao Makuu maana Chama kitachfuka kwa kuonekana MALLYA pale.

Ni mtu ambae hafikiri sawasawa tu ndie atakayeweza kusema USALITI huu hauna asili ya ndani na kuwa ni hulka za viongozi wakuu wa Chadema kuendelea asili yao hiyo.

ANGALIZO:
Nitasema kama nilivyokutangulia kusema hapo awali juu ya hatma ya vijana ndani ya chadema, na leo nitasema hivi;
IKIWA HII MITI MIBICHI INATENDEWA HIVI., JE NINYI MITI MIKAVU MTATENDEWA VIPI..? ambao hata makao makuu ya Chama hamyajui wala hakuna anayewajua zaidi ya kuwatumia kwenye maandamano na mikakati yao.

Friday, March 8, 2013

HILI NI BALAA LA SOGY DOGY


SOGGY DOGY THE INTERTAINER AFUKUZWA KAZI UHURU FM NA KUKIMBILIA RADIO ZA IRINGA


Mtangazaji maarufu wa radio uhuru fm iliyopo jengo la ccm dar es salaam anae fahamika kwa jina la soggy dogy amefukuzwa kazi kwenye kituo hicho cha radio na kukimbilia mkoani iringa kwaajili ya kutafuta ajira ya utangazaji radio zilizopo mkoani iringa,chanzo cha kukimbizwa na vilago vyake pale uhuru fm inasemekana ni ulevi kupindukia na kusahau ratiba za kazi na kualibu utaratibu wa vipindi vya radio hiyo, Tayali amekwisha pita radio iliyopo iringa kwaajili ya kufanya intervew ya kazi hata hivyo mameneja wa radio hiyo ijulikanayo kwa jina la country fm wamemtimua baada ya kugundua kama hana nidhamu ya kazi,Hivyo amekwenda kuomba kazi radio ijulikanayo kwa jina la ebony fm iliyopo hapo hapo irina na kukubaliwa kujiunga na wafanyakazi wa radio hiyo.........
 

UHURU KENYATA RAISI MPYA WA KENYA

MAMBO 50 USIYOYAJUA KUHUSU UHURU KENYATTA




  1. He was conceived in Samburu
  2. He was born in Nairobi
  3. He is left handed
  4. He worked for KCB at Kipande House
  5. He earned 600/- while working for KCB
  6. History was his favorite subject in High School
  7. Played on the wing for St Mary’s School rugby team
  8. He was the First Politician to concede defeat at the Presidential Level
  9. His favorite film is Shaka Zulu
  10. His favorite musicians are Bob Marley, Tracy Chapman and UB40
  11. He has 3 kids
  12. He is a practicing Catholic
  13. He wears specs while reading
  14. His favorite food is Nyama Choma
  15. His favorite authors are Tom Clancy and Vince Flynn
  16. His favorite TV SHOW’s are 24 and Spooks
  17. The first car he owned was an Alfa Romeo
  18. He used to personally collect horticulture for export in his pick-up
  19. He joined politics in 1989
  20. He campaigned for Matiba in 1992
  21. He first met his wife in 1978 in Mombasa
  22. His father passed away while he was in form four
  23. He has slept in St House, but it was never his home
  24. His father had 4 boys and 4 girls
  25. He worked at Burger King while in the US
  26. He fronted an Afro while in Uni
  27. His favorite beer is Tusker
  28. His favorite gadget is an Iphone
  29. If he could hang out with a band it would be UB40
  30. He favorite computer game is Tiger Woods Golf PGA Tour
  31. His favorite cartoon is The Flintstones
  32. His favorite comic is Archie
  33. His favorite color is Blue
  34. His favorite board game is backgammon
  35. The Kenya Economic Stimulus program was first launched under his leadership at the Treasury.
  36. The project that he has initiated that he would most like to see succeed is IFMIS
  37. He is the first finance Minister to create a loan facility for the JuaKali sector.
  38. If he could be any animal he would be a cheetah
  39. His pets are both a Great Dane and Chihuahau
  40. He has retained his first driver and secretary to date
  41. His favorite Ministry that he has worked in is Trade
  42. He lost the first parliamentary election.
  43. He intends to retire at 60.
  44. He proposed to his wife in Karen, Nairobi
  45. He was suspended from school?
  46. His best friend is his wife Margaret
  47. Favourite bible verses are Psalms 23, and 137
  48. The world leader he would most like to meet is Fidel Castro
  49. The most influential person he has met to date is Nelson Mandela
  50. His greatest wish is to serve the people of Kenya

- See more at: http://www.nairobiwire.com/2013/02/50-things-you-did-not-know-about-uhuru.html#.dpuf

SASA NI UHURU KENYATA KWA WAKENYA

JAPO KUWA ODINGA ANANGUVU SANA LAKINI UHURU KENYATA AMEFANIKIWA KUMDONDOSHA MPINZANI WAKE.

    huyu ndiye raisi wa kenya akipiga kura yake ya kujikubali mwenyewe MH UHURU KENYATA.

Thursday, March 7, 2013

HILI NI BALAAA




 

sijui ni wapi tunaelekea.... misi kinondoni sijui ndo yuko kibiashara zaidi au ndo ameamua tu kupiga picha za utupu... ila dada zetu hizo si njia harari za kutafuta pesa zaidi ya kujishusha thamani... ndo hayo tuuuuuuuuu mengine tumuachie muumba