Watanzania wavivu sana kuchambua mambo au Hawasikilizi kitu vizuri au hawasikilizi
kuanzia mwanzo hadi mwisho au inawezekana wangi wenu mlichelewa
kuisikiliza hotuba kwa hiyo mmesikia baadhi ya sehemu na wengine
wanasema ili waonekane wamechangia jambo na mwisho kabisa wengine ni
washabiki wa vyama vya kisiasa bila kusahau wengine hawampendi raisi wao
na kumtakia mema... hapana simaanishi wewe aaaah ni wengine tu...
mheshimiwa DR jakaya Mrisho Kikwete amegusia mambo yote hajazungumzia
jambo moja amechambua kila jambo kwa kutoa faida na hasara za kila
jambo... sasa kwa kuwa wabongo wanajua kukuza mambo bhaas hawajaangalia
ubora wa ile hotub kwa ujumla... usisahau kila kizuri kina kasolo....
YEYE AMEWAACHIA KAZI WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA KWA KUWAHUSIA WAJUMBE
MAMBO MENGI LICHA YA TOFAUTI ZAO ZA KIDINI, KISIASA, WATENGENEZE KATIBA
ITAKAYO STAWISHA DEMOKRASIA MAENDELEO, UMOJA N.K... PIA ALISISITIZA
KWAMBA KILA MJUMBE AWE NA MSIMAMO WAKE NA ASISIKILIZE NA KUAMULIWA NA
MTU... KWA HIYO MHESHIMIWA RAISI DR JK AMEWAPA UHURU WA KUJIAMULIA
MAMBO YAO WENYEWE HATA KAMA NI SERIKALI TATU... NA MWISHO ALITOA MSIMAMO
WAKE WA MFUO WA SERIKALI MBILI KWA KUTOA ATHARI YA KUZALIWA TAIFA
JINGINE LA TANGANYIKA... kwa hiyo kwa mantiki hiyo kutakua na serikali
ya tanganyika inayomiliki lasilimali zake, serikal ya zanzibar
inayomiliki lasilimali zake na serikali ya tatu ni serikali ya jamuhuri
ya muungano wa tanzania ambayo kimsingi inategemea mchango kutoka
serikali ya tanganyika na zanzibar... sasa ikitokea serikali hizo mbili
zikgoma kuchangia uendeshaj wa serikali wa jamuhuli nini kitachotokea...
ina maanisha serikali ya jamuhur ambayo inamiliki vyombi vya ulinzi na
usalama itashindwa kuwalipa madai yao na kusababisha ugomvi na mapinduzi
ya jeshi na vita ya wajesh na wananchi pia Mh DR JK aliendelea kwa
kutoa mifano ya migogoro mbali mbali ya kisiasa ya nchi nyingi ambayo
imesababishwa na mifumo kama hii ambayo wananchi wanataka iwe mfano
taifa kubwa kama urusi pia lilibomolewa kwa namna hii hii kwa sababu
raisi wa serikali ya jamuhuli ya muungano anakosa nguvu kwa muundo
huu... vile vile bada ya kufa kwa muungano watanzania walioungana kidamu
mtawaambia nn eti wewe sio mzanzibar basi ondoka hapa kahame uende
kwenu wee MENGI YALIONGELEWA...KWA KWELI ANASTAHIRI PONGEZI KWA HOTUBA NZURI AMBAYO AMETUMIA MDA WAKE KUANDAA KWA AJIRI YA UFUNGUZ WA BUNGE MAALUM. AFU ALIKUWA MFANISI SANA KWANI HAJASOMA AMEITOA KICHWANI MWAKE NA KWA HILO ANAKAMILISHA USEMI ULE USEMAO YEYE NI DAKTARI ALIYE BOBEA KATIKA KUTATUA MIZOZO YA KISIASA...