Uwindaji haramu (Irrigal Poaching) unaoendelea katika mbuga zetu za Africa ni hatari kwa mazingira yetu pamoja na viumbe vyote vinavyotuzunguka kwa sababu wanaharibu mfumo wa ecologia unaofahamika kwa jina la ecosystem ambao ni mfumo muhimu katika ulimwengu wetu kwa sababu viumbe hai vinategemeana sana katika kudumisha uhai kwa hiyo mimea na wanyama ni vitu vinavyotegemeana sana licha ya viumbe hai. Pia mfumo wa ecologia unahusisha na visivyo hai mfana ardhi, hewa, miamba na vingine vingi sana kwa mfano binadamu anajipatia vitu mbali mbali katika miamba / ardhi kama vile mafuta, gesi nakadharika ambavyo vingine vinatokana na maozeo ya masalia ya wanyama mbalimbali. Kwa hiyo viumbe hai, visivyo hai vinategemeana sana kudumisha uhai katika ulimwengu kwa hiyo ikionekana jamii fulani ya wanyama wanapotea hii inadhihirisha dhahiri uhai unazidi kupotea kwani viumbe na vingine vyote vinategemeana sana katika kuendeleza uhai ulimwenguni.
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo Mnyama huyu anapungua kwa kasi kwa sababu sio hali ya kawaida kwenda mbugani kutalii na kukosa kumuona mnyama huyu kwa kipindi choote kilichopita lakini kwa sasa ni ngumu sana kumuona mnyama huyu. hii inamaanisha faru wamepungua kwa kiasi kikubwa sana. Serikali pamoja na secta binafsi zinabidi ziandae mchakato ambao uta dhibiti richa ya changamoto la ongezeko la watu ulimwenguni.
No comments:
Post a Comment