Thursday, December 19, 2013

FARU HATARINI KUTOWEKA DUNIANI

Uwindaji haramu (Irrigal Poaching) unaoendelea katika mbuga zetu za Africa ni hatari kwa mazingira yetu pamoja na viumbe vyote vinavyotuzunguka kwa sababu wanaharibu mfumo wa ecologia unaofahamika kwa jina la ecosystem  ambao ni mfumo muhimu katika ulimwengu wetu kwa sababu viumbe hai vinategemeana sana katika kudumisha uhai kwa hiyo mimea na wanyama ni vitu vinavyotegemeana sana licha ya viumbe hai. Pia mfumo wa ecologia unahusisha na visivyo hai mfana ardhi, hewa, miamba na vingine vingi sana kwa mfano binadamu anajipatia vitu mbali mbali katika miamba / ardhi kama vile mafuta, gesi nakadharika ambavyo vingine vinatokana na maozeo ya masalia ya wanyama mbalimbali. Kwa hiyo viumbe hai, visivyo hai vinategemeana sana kudumisha uhai katika ulimwengu kwa hiyo ikionekana jamii fulani ya wanyama wanapotea hii inadhihirisha dhahiri uhai unazidi kupotea kwani viumbe na vingine vyote vinategemeana sana katika kuendeleza uhai ulimwenguni.
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo Mnyama huyu anapungua kwa kasi kwa sababu sio hali ya kawaida kwenda mbugani kutalii na kukosa kumuona mnyama huyu kwa kipindi choote kilichopita lakini kwa sasa ni ngumu sana kumuona mnyama huyu. hii inamaanisha faru wamepungua kwa kiasi kikubwa sana. Serikali pamoja na secta binafsi zinabidi ziandae mchakato ambao uta dhibiti richa ya changamoto la ongezeko la watu ulimwenguni.


Sunday, August 11, 2013

HAPA AY HAPA FA WAKISHUKA BONDENI SOUTH AFRICA


HAPA AY HAPA FA WAKISHUKA BONDENI SOUTH AFRICA

Msanii Madee alivyokuwa airport huko South Africa alipekuliwa sana kutokana na historia ya kukamatwa kwa watanzania na madawa ya kulevya kwenye viwanja vya ndege vya huko South Africa.

Tukio hilo limewatokea Mwana F.A akiwa na swahiba wake A.Y baada ya kufika bondeni kwa ajili ya show ambapo wamepekuliwa kupita kiasi

Mwana F.A hali ilimshinda ikabidi aanze ku-share na marafiki zake kwenye twitter kuhusu mambo yaliyowakuta huko bondeni.

Hizi ni baadhi ya caption za Mwana F.A na watu wengine baada ya tukio hili kutoke.



Sunday, July 7, 2013

BIRTHDAY YA AMBWENE YESSAYA MAMBO YALIKUA KAMA IFUATANYO

Photos; Check Birthday Bash Ya AY Iliyofanyika Runway Lounge …

2 votes, average: 1.00 out of 52 votes, average: 1.00 out of 52 votes, average: 1.00 out of 52 votes, average: 1.00 out of 52 votes, average: 1.00 out of 5


Leo ni birthday ya mwanamuziki mchapa kazi, Ambwene Yessaya “AY” … Ni mwanamuziki wa siku nyingi akitimiza miaka kadhaa toka kuzaliwa kwake … AY aliandaliwa BASH jana usiku katika ukumbi wa Runway Lounge uliopo katika jengo la SHOPPERS PLAZA, Mikocheni Dar es Salaam.
Katika bash hiyo ambayo watu hawatasita kumpiga ndoo … “kama kawa” … ilihundhuriwa na watu kadhaa, ndugu, marafiki kama Vanessa Mdee, Eskado Bird, MwanaFA, Arthur, Mx, Sallam na wengineo …
AY anaizungumzia siku hii kuwa ni ya furaha sana, anamshukuru kila mtu aliemu-wish “HAPPY BIRTHDAY” especially kwenye mitandao ya jamii hasa twitter … Tazama baadhi ya picha katika Bash hiyo iliyoandaliwa kwa ajili ya birthday yake ;
ALL PHOTOS BY #SLIDEVISUALS
IMG_8591
Sallam & Vanessa
IMG_8587
Marafiki waliokuwepo kwenye Bday party Ya AY
IMG_8551
IMG_8519
Vanessa MdeeIMG_8465
AY & Peter MoeIMG_8461
IMG_8456
IMG_8435
Moet Ilifunguliwa kusheherekea AY kutumiza Miaka yakeIMG_8426
IMG_8422
IMG_8410
IMG_8403
IMG_8391
IMG_8389
IMG_8382
IMG_8380
IMG_8373
IMG_8363
IMG_8354
IMG_8353

Comments

0 comments

Related Posts



Sunday, May 19, 2013

MABOMU YA MACHOZI YALINDIMA IRINGA MJINI

HABARI KATIKA PICHA

Polisi wakipita eneo la Mashine tatu asubuhi hii

Abiria na wapiga debe stendi kuu wakinawa maji baada ya kupigwa mabomu na kumwagiwa maji ya kuwasha na askari wa FFU leo
Mmiliki wa mtandao huu mzee wa matukio daima akinawa maji baada ya kupigwa bomu la machozi


Hali ikiendelea kuwa tete kwa machinga kufunga barabara kuu ya Iringa Dodoma na ile ya mashine tatu

Ni Machafuko Iringa hivi leo

















mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwasili eneo la vurugu kabla ya kuanza kwa vurugu hizo
Mbunge Msigwa akiondoka eneo la mashine tatu
Machinga wakisukuma gari ya mbunge Msigwa
Polisi wakimfuatilia mbunge Msigwa kwa nyuma baada ya kufika eneo hilo bila kufanya biashara kama alivyoahidi
Polisi wakianza kufukuza wananchi eneo hilo