HUU NDO WAKATI TULIOKUA TUNAUNGOJEA
Jambo la kwanza naomba nichukue fursa hii kujitambulisha
Mimi naitwa...
Awadhi Chang'a,
Geographer / Environmenalist specialist.
naandaa ukurasa huu kwa malengo yafuatayo
1. Kupashana habari moto moto
2. Kupeana elimu
3. Kufurahishana
4. Kujuana kwa kuchati na watu mbalimbali
5. Pamoja na burudani kwa ujumla
Naomba ushirikiano wenu wa dhati ili tuweze kutengeneza Mahusiano mazuri (good link), ambayo tutayatumia sote kupeana habari na elimu kwa ujumla.
Bila kusahau wanafunzi watapata mambo mengi mapya ambayo yatawasaidia katika masomo na maisha kwa ujumla...
asanteni saaana kwa kusoma japo machache tu.
KUMBUKA: KURASA BADO IPO KWENYE MAANDALIZI
NOTE: PAGE IS UNDER CONSTRUCTION

No comments:
Post a Comment