Sunday, May 19, 2013

MABOMU YA MACHOZI YALINDIMA IRINGA MJINI

HABARI KATIKA PICHA

Polisi wakipita eneo la Mashine tatu asubuhi hii

Abiria na wapiga debe stendi kuu wakinawa maji baada ya kupigwa mabomu na kumwagiwa maji ya kuwasha na askari wa FFU leo
Mmiliki wa mtandao huu mzee wa matukio daima akinawa maji baada ya kupigwa bomu la machozi


Hali ikiendelea kuwa tete kwa machinga kufunga barabara kuu ya Iringa Dodoma na ile ya mashine tatu

Ni Machafuko Iringa hivi leo

















mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwasili eneo la vurugu kabla ya kuanza kwa vurugu hizo
Mbunge Msigwa akiondoka eneo la mashine tatu
Machinga wakisukuma gari ya mbunge Msigwa
Polisi wakimfuatilia mbunge Msigwa kwa nyuma baada ya kufika eneo hilo bila kufanya biashara kama alivyoahidi
Polisi wakianza kufukuza wananchi eneo hilo